VIDEO: Makonda afunguka sakata la Mgambo waliokamatwa kwa kupiga raia, waswekwa rumande


Leo Septemba 10 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam amekutana na wadau wa mazingira jijini hapo ili kuona namna ya kuimarisha usafi huku akifunguka kuhusiana na sakata la mgambo wanaotuhumiwa kupiga raia katika zoezi hilo na kusema mgambo hao wamekamatwa na kupelekwa mahakamani, ambapo kesi imesikilizwa na watumiwa hao wamerudishwa rumande mpaka kesi hiyo ikapotajwa tena.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items