.

9/14/2018

VIDEO: Polepole ampiga mkwara Katibu Mkuu CHADEMA "Rais Magufuli anatekeleza ilani ya CCM"


Leo Septemba 14 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM taifa Humphrey Polepole amefunguka kuhusiana na kauli ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vicent Mashinji aliyoitoa juzi kwamba Rais Magufuli anatekeleza Sera ya mpango wa maendeleo wa Serikali  uliopitishwa mwaka 2016 na siyo ilani ya CCM.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE