.

9/14/2018

VIDEO: Polisi Dar watolea ufafanuzi sakata la mgombea Ubunge CHADEMA kutishiwa kutekwa


Sakata la mgombea Ubunge wa jimbo la Ukonga Asia Msangi kudaiwa kutishiwa kutekwa, leo Septemba 14 Jeshi la Polisi kanda maalumn ya Dar es salaam limetolea ufafanuzi na kusema kuwa hawajapata taarifa hizo na kumtaka mgombea huyo kama kuna tishio hilo aripoti kituo chochote cha polisi ili kulifanyia uchunguzi swala hilo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE