VIDEO: Sakata la uchaguzi Ukonga bado lafukuta "tutapiga tutalinda"
byMuungwana Blog 5-
0
Kuelekea uchaguzi mdogo wa marudio jimbo la Ukonga, kampeni zimeendelea katika jimbo hilo huku mgombea wa CHADEMA Asia Msangi akiahidi kuwaunganisha wanaukonga, pia kuwataka wampigie kura kwa wingi ili kumpata mbunge sahihi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE