"Tunayo malalamiko na tumeyapeleka kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Ukongo ambayo Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde kutoa maneno ya kashfa na matusi aliyoyatoa kwnye mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa CCM ambapo amesema mwnyekiti wetu wa Ilala Makongolo Mahanga kuwa ni mzinzi na anatembea na wake za watu" CHADEMA
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
