https://monetag.com/?ref_id=TTIb BREAKING NEWS: Basi lateketea kwa moto Lindi | Muungwana BLOG

BREAKING NEWS: Basi lateketea kwa moto Lindi



Basi la Kampuni ya Ibra line linalofanya safari zake Masasi kwenda Dar es salaam limeteketea kwa moto eneo la Nangurukuru mkoani Lindi ambapo mpaka sasa hakuna majeruhi yeyote aliyeripotiwa.

Juhudi za kumtafuta kamanda wa Mkoa wa Lindi zinaendelea ili kupata taarifa zaidi kuhusiana na chanzo cha ajali hiyo. Endelea kufuatilia Muungwana Blog kwa taarifa zaidi.