Leo Octoba 19 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amefunguka kuhusiana na sakata la CCTV Camera ambazo zipo kwenye Hotel ya Collessium na kusema kuwa picha zilizopatikana kupitia camera hicho zilikuwa hazionyeshi vizuri kutokana na muda uliofanyika tukio hilo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
