Baada ya kusambaa kwa sauti ya mbunge wa moshi vijijini Anthony Komu na mbunge wa wa jimbo la ubungo Saed Kubenea ambapo ilisemakana sauti hizo zilisikika wakipanga njama ambazo juu ya meya Jacob na Mwenyekiti wa chama cha chadema, ambapo jana wabunge hao waliomba radhi mbele ya vyombo vya habari, baada ya kukiri mbele ya kamati ya chama hiko.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE...................
