VIDEO: Wema Kumpost Mume wake Mtarajiwa Gabo Afunguka haya
byMuungwana Blog 3-
0
Baada ya wema sepetu kuvujisha picha ya mpenzi wake mpya ambae amedai ndio mume mtarajiwa wake ambapo alifanya hilo kwa kuposti picha ya mpenzi wake kwenye ukurasa wa kijamii wa instagram, Hatimaye msanii Gabo afunguka haya.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI............USISAHAU KUSUBSCRIBE.,...........