VIDEO: Gabo Asisitiza Uzalendo, Adai hata serikali haijapeleka umeme vijijini, sembuse yeye.


Msanii wa filamu Gabo zigamba ambae kwasasa anafanya vizuri na kuonekana anavaa viatu vya marehemu steven kanumba, leo ametangaza rasmi kuwa watanzania tunatakiwa kuwa wazalendo.

Amethibitisha hilo baada ya kutoa filamu yake mpya inayoitwa segere ambayo imeelezea maisha halisi ya kiafrika ambayo imesisitiza pia kwa vijana kujitahidi kuijua historia na kutakiwa kuwa wazalendo.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...........USISAHAU KUSUBSCRIBE....................

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items