Msanii wa Bongo Fleva, Malkia Karen amesema picha zilizosambaa mtandaoni na watu kudai amefunga ndoa na Petitman sio hivyn bali ni kwa ajili ya kazi pekee.
Muimbaji huyo kwenye mahojiano na kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM amesema walifanya hivyo ili kuwapa watu utayari wa kupokea kitu kutoka kwao.
‘’Ilikuwa ni attention ili watu wakae tayari kwa ajili ya ngoma yangu mpya, haikuwa kiki, nilikuwa naogopa sana familia yangu kwa sababu sikutaka wazione picha zangu ndio maana Petit alizitoa kwanza za kwake’’
Malkia Karen ambaye ni mtoto wa Mtangazaji Gardner G Habash kwa sasa ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Washa.

Tags:
BURUDANI