VIDEO: IGP Sirro "Hili ndilo gari lililohusika kumteka MO Dewji"


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania IGP Simon Sirro amesema polisi nchini wamepata maelezo muhimu kuhusu gari lililotumiwa na watu waliomteka mfanyabiashara Mo Dewji.

Amesema gari hilo ambalo muundo wake ni Toyota Surf na yenye rangi ya buluu nyeusi, na lenye ufito wa rangi ya shaba kwa chini lilitokea nchi jirani ambayo hakuitaja na kueleza kuwa liliingia nchini Tanzania mnamo Septemba 1 mwaka huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items