Leo Oktoba 19 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amefunguka na kujibu maswali ya wanahabari kuhusu na hali ya usalama, huku akijikita zaidi kutolea ufafanuzi na sintofahamu inayoendelea kuhusiana na sakata la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
