Mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro leo Octoba 19 amefunguka kuhusiana na tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohamedi Dewji na kubainisha kuwa mpaka sasa wamefanikiwa kubaini gari linalodaiwa kuhusika na utekaji huo pia dereva aliyekuwa anaendesha gari hilo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
