Loading...

10/11/2018

VIDEO: Eto'o aanza kuonyesha cheche Bongo, awanoa watoto wenye vipaji


Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon na vilabu vikubwa Ulaya ikiwemo Barcelona, Inter Milan, Chelsea n.k, Samuel Eto'o, amefanya clinic ya watoto asubuhi ya leo (Alhamisi) katika ufukwe wa Ramada Hotel jijini Dar es Salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger