Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka msanii na video vixen, Amber Rutty ajisalimishe kituo cha polisi baada ya video zake za utupu kuvuja mtandaoni.
RC Makonda ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amemtaka Amber Rutty kuripoti kabla ya saa 12 jioni leo.
“Wakati TCRA wakijipanga kuchukua hatua, mimi namtaka mwenye video hii kufika kituo chochote Cha Polisi kilichopo karibu na eneo lake kabla ya 12 jioni. Na ukifika waambie umeitwa na RC Makonda watakupatia ujumbe wako.“amesema RC Makonda.
Siku ya jana kwenye mtandao wa Instagram kulisambaa video ya msanii huyo akiwa uchi wa mnyama akifanya mapenzi na jamaa yake, tena kinyume na maumbile.
Tukio hilo la kuvuja video hizo za utupu za Amber Rutty, limekuja masaa machache baada ya Muigizaji Wema Sepetu naye video zake za utupu kuvuja mtandaoni.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE