VIDEO: Mbunge CUF amvaa RC, amuwashia moto mbele ya wananchi


Mbunge wa Mtwara wa Mjini (CUF) amefunguka kuhusiana na kitendo alichodai kudharauliwa na Mkuu wa Mkoa huo Gelasius Byakanwa kwa kutompa nafasi ya kuongea na wananchi wakati wa mkutano ambao pia ulihuzuliwa na Waziri wa Nishati.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE