VIDEO: SIRRO athibitisha Gari liliotumika, Kumteka MO Dewji, limefikishwa Polisi Kabla ya Kuungua


Baada ya mfanyabiashara Mohammed Dewji kutekwa na watu ambao hawakufahamika na jeshi la polisi kufanya jitihada za kutosha hadi kupatikana kwa mfanya biashara huyo siku ya jana jioni, hatimaye ile sintofahau na ukakasi wa picha halisi ya gari lililotumika kumteka mfanya biashara huyo yadhihirishwa.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSBSCRIBE....................

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items