VIDEO: IGP sirro awavaa wanaorusha maneno kwenye mitandao, wamelala na wake zao | Uraia wao Una mashaka


Mkuu wa jeshi la polisi IGP Simon Sirro, amewachachamalia wale wote ambao wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii vibaya kulibeza jeshi la polisi na kulifundisha utendaji kazi, kuwataka wakae chonjo, kwa kuwa jeshi la polisi haliendeshi kisiasa bali kimaadili ya kiaskari.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI............USISAHAU KUSUBSCRIBE.....................

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items