VIDEO: Sirro aweka wazi watekaji wa Mo Dewji, "Wanaopenda kuingilia kazi za polisi uraia wao unamashaka"


Mkuu wa Jeshi la polisi nchini, IGP. Simon Sirro Jumamosi hii ameongea na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu watekaji wa mfanyabiahsra maarufu Mohammed Dewji huku akiendelea kusisitiza kuwa uchunguzi unaendelea na watu hao watakamatwa hata wakikimbilia nchini yoyote hata iwe Afrika Kusini, Msumbiji, Kenya n.k. Pia Kamanda huyo ameongeza kuwa anawasiwasi na uraia na watu ambao wamekuwa wakiingilia kazi za je3shi la polisi mara kwa mara.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items