Breaking News: Rais Magufuli amtumbua Dkt Tizeba na Mhe Mwijage, Waitara ala shavu



Rais Magufuli ametengua uteuzi mawaziri wawili ambao ni Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage , nafasi zao zikichukuliwa na Japhet Hasunga pamoja na Joseph Kakunda. Aidha Rais Magufuli amemteua Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara kuwa Naibu Waziri TAMISEMI.