Loading...

11/09/2018

Hamisa Mobetto Aringa na Penzi Jipya

 Mwanadada Hamisa mobeto ambae hivi karibuni alitangza kwa picha kuwa kwa sasa amepata mwanaume mwingine, ameanza kulinga na kulingishia katika mitandao ya kijamii kuhusu mahusiano yake hayo mapya bila kujali watu watasema nini.

Wiki iliyopita katika ukurasa wake wa snapchat aliweka picha ya mwanaume mwenye asili ya kiarabu na kuweka emoji za mapezi na picha hiyo kusambaa sana katika mitandao ya kijamii.

Leo tena mwanadada huyo ameweka picha nyingine akiwa amebebwa na mwanaume kifuani kwake huku akindika kuwa kwa sasa hivi anadekezwa na wala sio kugombezwa.

Hamisa aliwahi kuwa katika mapenzi ya siri  ya msnii diamond platinumz, mapenzi amayo hata baada ya kujulikana yalimletea matatizo na kumfanya kupata misuko suko huku tayari akiwa na mtoto wa msanii huyo.

Hamisa aliwah kukiri hivi karibuni kuwa kuachana na Diamond kummfanya kuwa huru na kupata mafanikio Pia.


KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger