INAHUZUNISHA: Anaomba msaada kwa Rais Magufuli (+VIDEO)
byMuungwana Blog 2-
0
Mkazi wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Anna Lomnyaki ambaye ni mjane amewaomba watanzania wakiwemo viongozi wenye mioyo ya huruma kujitokeza kumsaidia kutokana na ulemavu wa mwanae ambaye hajiwezi.