BREAKING: Wafuasi chadema wazuiwa kuingia, Askari wawatimua, wavutana getini


Wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema leo wamefurika katika mahakama kuu jijini dar es salam kusikiliza shauri juu ya kufutiwa kwa dhamana kwa mwenyekiti wa chama hiko Mh. Freeman mbowe na mbunge wa tarime mjini Ester matiko.

katika hali isiyo ya kawaida wafuasi hao, waliokuwa wamejaa katika geti la mahakama kushinikiza kuingia mahakamani humo, askari polisi waliwatimua wafuasi hao kuokana na kufanya vurugu na kutumia nguvu kuingia mahakamani humo.



TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI............USISAHAU KUSUBSCRIBE............
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items