Baada ya vuta nikuvute kati ya wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema na askari polisi zinazoendelea mahakama kuu, ghafla aibuka mzee na kuanza kuwatupia maneno mazito wanachadema ambapo alilaani na kusema kuwa kiongozi gani anatiwa kwenye karandinga.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE..................