Santiago Solari ametangazwa kuwa kocha wa Real Madrid mpaka mwisho wa msimu huu.
Scolari aliteuliwa kuwa kocha wa muda kuchukua nafasi ya Julen Lopetegui ambaye alitimulia baada ya kufanya vibaya.
Baada ya Solari kupewa timu ameweza kuifanya real Madrid kushinda mechi 4 na kupata magoli 15 na kufungwa magoli 2
Kuna uwezekano Solari akapewa mkataba wa muda mrefu hapo baadaye endapo atazidi kufanya vizuri ndani ya miamba hao wa Real Madrid.