Naibu Katibu mkuu chadema bara, Mh. John Mnyika, amefunguka baada ya viongozi wawili wa chama cha demokrasia na maendelo chadema akiwemo mwenyekiti wa chama hiko Mh. Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime mjini Ester matiko, ambapo amesema kuwa pingamizi lina nia ovu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE...........
