VIDEO: Waumini wa dini ya kiislam wafanya maamuzi magumu Dar
byMuungwana Blog 1-
0
Leo Novemba 30 wakazi wa Temeke jijini Dar es salaam ambao ni waumini wa dini ya kiislam wameungana kwa pamoja na kuzindua ukuta uliozunguka eneo la Maganga ambalo limetengwa kwa ajili ya makaburi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE