F VIDEO: Serikali yapigilia msumari uvuvi haramu | Muungwana BLOG

VIDEO: Serikali yapigilia msumari uvuvi haramu


Leo Novemba  19 Serikali Wilayani Kinondoni jijini Dar es salaam imewataka wavuvi kuhakikisha wanashirikiana vema kutoa taarifa za watu wanaojihusisha na uvuvi haramu ili jamii ya Tanzania ipate samaki walio bora.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE