Leo Disemba 24 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wametoa tamko zito kupitia kwa mjumbe wa kamati kuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Pwani Frededrick Sumaye, kuhusu hali ya kisisasa inavyoendelea nchini.
TAZAMA FULL VIDEO, PIA SUBSCRIBE