VIDEO: Kauli za viongozi 9 wa juu wa vyama vya siasa 15 vilivyoungana


Vyama vya siasa 15, ikiwemo CHADEMA, CHAUMA na ACT Wazalendo leo Disemba 9 vimekutana na kutoa tamko la pamoja kuhusu muswada wa sheria uliopitishwa hivi karibuni kuhusu Mabadiliko ya Vyama vya Siasa uliowasilishwa na Serikali bungeni, wakatiwa Mkutano wa 13  wa Bunge la 11 jijini Ddodoma.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE