.

12/06/2018

VIDEO: Miss Utalii 2018 kufanyika Manyara


Mkoa Wa Manyara Umeamua Kuutangaza Utalii Uliopo Mkoani Hapo Kwa Kutumia Burudani Mbalimbali Ambapo Kwa Kuanza Imeanza Na Zoezi La Kuandaa Mashindano Ya Miss Yalipoewa Jina La Miss Utalii 2018 Yatakayofanyika December 15, 2018.

Akizungumza Na Waandishi Wa Habari, Mratibu Wa Mshindano Hayo Mkurugenzi Wa Manyara Country Lodge Erick Nyoni Amesema Mgeni Rasmi Atakuwa Mkuu Wa Mkoa Wa Manyara Alexender Mnyeti Pamoja Na Wabunge Wa Majimbo Mkoani Hapo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA, PIA SUBSCRIBE