VIDEO: Patrick Aussems amtaja Kichuya, afunguka kuhusu beki mpya Zana Coulibaly


Kocha wa Simba Patick Aussems amemtaja Shiza Kichuya ambaye amefanikiwa kuifungia timu yake hiyo mabao mawili katika ushindi wa mabao 3-0 walioupata dhidi ya Singida United kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Pia kocha huyo amefunguka kuhusu nafasi ya beki wao mpya waliomsajili kutokea ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Zana Oumar Coulibaly ambaye ameonekana kutopewa nafasi kubwa kwenye kikosi cha kwanza.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi