Kufuatia Takwimu kuonyesha kuwa Mkoa wa Manyara unaongoza katika Ukeketaji wa Watoto na Wanawake, Mkuu wa Mkoa huo, Alexender Mnyeti akiwa katika kikao cha ushauri cha mkoa amesema anataka ushahidi unaoonyesha kuwa wanawake katika mkoa wake wamekeketwa na sio kuchafya jina la mkoa.
TAZAMA FULL VIDEO, PIA SUBSCRIBE
