VIDEO: Waziri Mahiga aeleza sababu kuahirishwa Mkutano EAC
byMuungwana Blog 2-
0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga akizungumziakuahirishwa kwa Mkutano wa 20 wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) hiyo uliofanyika jana Jijini Arusha katika ukumbi wa AICC