F VIDEO: Roma, Stamina na Maua Sama watangaza Balaa jipya | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

VIDEO: Roma, Stamina na Maua Sama watangaza Balaa jipya


Wasanii wa muziki Bongo, Roma na Stamina  (Rostam) na Maua Sama wametangaza kufanya show kubwa ya kufunga mwaka December 31, 2018 ndani ya ukumbi wa Dar Live, Mbagala.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA, PIA SUBSCRIBE