Nyumbani Basi la Dar Express lapata ajali nchini Kenya byMuungwana Blog 3 -1/26/2019 01:00:00 PM 0 Basi la Kampuni ya Dar Express limepata ajali ya kupinduka leo asubuhi, Athi River Kitengela nchini Kenya. Basi hilo lilikuwa ninatoka Nairobi kuelekea Dar es salaam, bado hajajulikana idadi ya majeruhi na kilichosababisha ajali hiyo. Facebook Twitter