Nyumbani Kamati ya Rufaa ya Maadili yatengua adhabu ya Meneja wa Simba byMuungwana Blog 5 -1/31/2019 09:10:00 PM 0 Kamati ya Rufaa ya Maadili yatengua adhabu ya Meneja wa Simba Richard Robart iliyotolewa na kamati ya Rufaa ya TFF. Richard alifungiwa mwaka mmoja kujihusisha na Mpira na faini ya Shilingi Milioni nne. Facebook Twitter