Kundi la muziki wa Bongo Fleva, Navy Kenzo lipo katika mpango ya kutoa albamu yao ya pili tangu kuanza kufanya vizuri kwenye muziki.
Utakumbuka December 2016 ndipo Navy Kenzo walitoa albamu yao ya kwanza inayokwenda kwa jina la Above In A Minute (AIM).
![]() |
| Albamu yao ya kwanza, Above In A Minute (AIM). |

