Mikel mwenye umri wa miaka 31 aliwahi kucheza kwenye Ligi kuu ya Uingereza akiwa na klabu ya Chelsea na kunyakua ubingwa wa ligi kuu mara ,mbili akiwa na timu hiyo.
Anategea kujiunga na klabu ya Middeldbrough kwa mkataba wa muda mfupi.
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Sawa