Rais Magufuli atoa agizo kwa Wizara ya Fedha na Madini


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaagiza viongozi wa Wizara ya Madini na Wizara ya Fedha kujadiliana na kukubaliana na wadau wa madini kuhusu utaratibu mzuri utakao wezesha kuongezeka kwa mapato yatokanayo na madini yote yanayozalishwa nchini.

Soma Taarifa kamili:


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia