Picha: Waziri Kigwangalla atembelea maonesho ya kimataifa Hispania


Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamis Kigwangalla ametembelea banda la Tanzania katika maonesho ya kimataifa ya Feria Internacionale de Turismo (FITUR) yanayofanyika Madrid nchini Hispania  na kuzungumza na wadau wa utalii kutoka Tanzania wanaoshitiki maonesho hayo.


Mpya zaidi Nzee zaidi