PSG yataka kuibomoa Chelsea

Klabu ya Paris Saint-Germain inampango wa kumsajili winga wa Chelsea Willian katika siku hii ya leo ambayo ndio mwisho wa usajili kwenye dirisha hili dogo.

PSG wanataka kumchukua Willian ili azibe pengo la Neyamar ambaye atakuwa nje ya uwanjwa kwa kipindi cha wiki 10 kutokana na kuumia.

Neymar atakosa michezo yote ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Manchester United katika hatua ya 16.
Mpya zaidi Nzee zaidi