Spika aibua jipya matibabu ya Lissu, ni malipo ya Tsh. Milioni 250


Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema hadi sasa Bunge limeshamlipa Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu Tsh. Milioni 250 kwa ajili ya matibabu yake.

Leo bungeni katika kipindi cha maswali na majibu amesema hadi kufikia Desemba mwaka jana alikuwa amelipwa Tsh. Milioni 207, huku milioni 43 zikitolewa kama mchongo.

Ameengeza kuwa mwanzo hakutaka kujibu kuhusu suala la matibabu ya Mbunge huyo kutokana alikuwa mgonjwa amelala kitandani na alikuwa amepitwa na vitu vingi.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items