Mwamuzi wa Ngumi za Kulipwa nchini Nemes Kavishe amefariki dunia leo Januari 30, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akitibiwa baada ya kupata ajali ya pikipiki iliyosababisha kulazwa ICU kwa zaidi ya juma moja mpaka mauti yalipomkuta.