Mwanamitindo na Msanii wa Muziki, Hamisa Mobetto amesema kuwa upendo mwingi huja watu wakikuona umekufa.
Hamisa kupitia ukurasa wake wa Instagram wa Insta Story, amesema kuwa watakupa maua wakati wanajua huwezi kuyanusa.
" Upendo mwingi huja watu wakikuona umekufa, Watakupa maua wakati wanajua huwezi kuyanusa," aliandika Hamisa.
