.

1/12/2019

VIDEO: Agrey Mwanri aibuka tena '' sifa ya elimu inalipa dabari dabari''

Wanafunzi  zaidi  ya  elfu  kumi  na sita  ambao  wanaingia  kidato cha  kwanza  mwaka  huu   mkoani Tabora  wanakabiliwa na upungufu  wa  vyumba  vya  madarasa  zaidi  ya  Miambili  hamsini  ilikuweza kukizi   ongezeko  la    huku  asilimia  sabini  na tano  ya  wanafunzi  elfu  kumi  na moja  watoro  sugu  na  rejareja   waliojaribu  kuacha  masomo  wamerejea  tena shuleni  na hivyo  ongezeko  hilo limesababisha kuwepo  kwa  upungufu  mkubwa  wa  vyumba  vya  madarasa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE