Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Dk Selemani Madeni amewataka madiwani kuacha utani hasa wanapojadili shughuli zinazohusu Maendeleo ambayo yanawahusu wananchi na kuamua kuwabadilkia madiwani ambao walikuwa wanacheka wakati akizungumza.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...........USISAHAU KUSUBSCRIBE............
