VIDEO: Mbowe na matiko wanavyoonekana baada ya kufikishwa mahakamani, Kesi yao yapigwa kalenda


Kesi Na.112/2018 inayowakabili viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Mh. Freeman mbowe, Ester matiko na wengine saba imeitajwa leo tarehe 31 january katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini dar es salaam.

Pia baada ya hakimu wilbard mashauri ambae alikuwa akiisimamia kesi hiyo kuteuliwa na rais Magufuli kuwa jaji katika mahakama kuu kesi hiyo ameendelea nayo hakimu mpya anaeitwa  Kelvin Mhina.

Kesi hiyo dhidi ya viongozi hao wa chadema imehairishwa hadi tarehe 14 february mwaka huu wa 2019.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE............

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items