.

1/08/2019

VIDEO: Dar es salaam hakuna kulala saa 24 kazi - Makonda

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kuwa mkoa wa Dar es Salaama una mpango wa kuhakikisha wafanyabiashara wote wa mkoa huo wanafanya biashara zao saa 24 ili kila mwananchi apate fursa ya kufanya mahitaji yake pale anapoona muda.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE